8/29/2020

Zitto Kabwe 'Tutakata Rufaa NEC Kuhusu Wagombea Wetu Kuenguliwa'


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema kati ya Wagombea 218 wa chama hicho katika majimbo yote nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa, wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba)

Zitto Kabwe ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba Chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki

Pia amedai wanaunga mkono tamko la Mwenyekiti wa chama hicho pamoja Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwamba lazima wadai haki ya wagombea wao na usawa katika Uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger