8/29/2020

Zlatan ni mali ya Ac Milan


Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Sweden ,Zlatan Ibrahimovich ameongeza mkataba wa mwaka moja zaidi ili kundelea kubakia katika kikosi cha Ac Milan.Zlatan moja ya washambuliaji  bora kuwahi kutokea duniani, ataendelea kusalia Jijini Milan na hii inatokana na kufaya vizuri katika msimu uliomalizika akiwa na wababe hao wa Italia kwa miaka ya nyuma.

Bodi ya AC Milan imethibitisha  kufanya naye mazungumzo ya kumpa mwaka moja zaidi na nyota huyo amethibitisha kuwa ataendelea kuipigania klabu hiyo.

JE ATAISAIDIA MILAN?

Anauzoefu mkubwa akiwa amecheza katika vilabu mbalimbali mfano Ajax alikoanza safari yake,Juventus,Inter Milan,Barcelona,PSG ,na Manchester United hiyo inatosha kuonyesha anauwezo mkubwa na mikiki mikiki ya ligi kubwa pia.

Serie A kwake ni kama nyumbani, na katika michezo 20 aliyocheza nusu msimu uliomalizika,alifunga mabao 11 na kuipa uhai Timu hiyo ambayo ilionekana kuyumba mwanzini mwa msimu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger