AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MSANII mpya ndani ya WCB, Zuchu amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Chama cha Mapinduzi (CCM) wakizindua Nyimbo za chama 109 zilizotungwa na wasanii mbalimbali nchini, ambapo hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Agosti 16, 2020.
VIDEO:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK