Afisa wa TAKUKURU akamatwa akiomba rushwa ya Milioni 4.9


Leo September 11, 2020 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamaata Ofisa wake wa uchunguzi mwandamizi, Nina Sipilon Saibul kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.4.9 Milioni.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments