9/10/2020

Amber Lulu avunja ukimya afunguka mahusiano yake na UchebeMsanii wa BongoFleva Amber Lulu amevunja ukimya na kunyoosha maelezo kwa kile kinachoendelea mitandoni kwamba anahusihwa kuwa kwenye na mahusiano na aliyekuwa mume wa msanii Shilole Bwana Uchebe.

Stori hiyo inazungumziwa zaidi kwenye Jamhuri ya watu wa mtandao wa Instagram, ambapo siku ya juzi Amber Lulu aliweka ujumbe kwenye Insta Story akisema "Acheni Ujinga mimi na Uchebe wapi na wapi mxiuuu".


Amber Lulu amefunguka kuwa  "Hayo ni mambo ya Instagram nimeshayazoea hanipi shida pia sipendagi kuyaongelea, sijui hata yameanzia wapi na sina hata cha kuwaambia, hata nikisema niweke sawa suala hili wao itawasaidia nini kwanza hayo mambo ya Uchebe kamuulizeni Shilole".

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger