Ticker

6/recent/ticker-posts

Amemkuta Mke Wake Ana Ujauzito wa Wiki Tatu Wakati Hakuwepo Miezi Miwili

 


Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka mke wake kuwa amehamisha penzi kwa mwanamume mwingine na alipofika tuu mke wake alimpeleka kupima mimba.


Baada ya kufanya kipimo, mimba kama ya wiki tatu ilionekanajamaaa alikosa nguvu na baada ya hapo kaja kwangu kuomba ushauri na mimi nimemwabia tu kitanda hakizai haramu

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

1 Comments

  1. Ndio yaliyo mtokea mzee Abdul na Mzee Makame Mrisho Sasa anabambikiwa Salumu Bubu, na wewe ndio yale yale.

    Udanggaji nuksi.

    Unayo namba ya Mzee Abdul au Makame Mrisho Kishimba wa Kahama.???

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)