Amenisomesha, Kaninunulia Gari Lakini Sina Mapenzi Naye..Nifanyeje?

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

8 Comments

 1. Je bila yeye kukufanyia hayo ungejuana na huyo unaemuita msomina si mshamba? Jiulize hilo swali.

  ReplyDelete
 2. utakuwa huna akili timamu wewe

  ReplyDelete
 3. Mpe Tigo utarejesha mapenzi kwake maana utaona aibu kumuucha wakati kishakutoa Bikira ya Tigo. mapenzi yako kwake yatazidi mara dufu.

  ReplyDelete
 4. USISUBUTU KUMWACHA MAANA HATA MUNGU ATAKULAANI MWENYEWE

  ReplyDelete
 5. kama kuna msichana mjinga duniani wewe ni mmoja wao....wewe huna akili kabisa...mimi mi msichana kama wewe kwa hivyo lazima nikueleze ukweli mtupu...wewe wakati ulikuwa na shida ulimuona huyo mshamba ni mtu lakini sasa uko na hicho kisoma cha senti mbili basi unajiona sasa....ati umepata msomi mwenziwe mjinga mkubwa wewe....mbona hukuona hawo kitambo kile hukuwa na kitu...mshenzi mkubwa...Mungu atakuchapa kofi mpaka ujute....wengi hapa hawatakwambia ukweli kabisa...tena una bahati wewe sio mdogo wangu ungekuwa ungenitambua......wewe utalania na maulana tena sana hata mie nakuombea mabaya sana....wewe unajiona umesoma....basi wale waliosoma kweli watasemaji?????? mtu ambaye hajasoma sana huwa na matatizo sana...labda hicho ki degree chako unaona umesoma sana...wewe huna akili waliosoma hawasemi tena wana adabu zao na wanaheshimu watu sio kama wewe....nenda ukasome zaidi ndiyo ujuwe maana ya utu kwa binadamu mwenzio.

  ReplyDelete
 6. Ati nini??? Allah atakulani mpaka kufwa kwako....ati msomi umepata??? utajuta kuzaliwa...wacha ushamba na tulia na mume mwenye hekima za ubinadamu...na kama ni freemason mbona hukumuona wakati wazazi wako walikufwa....tena kumbuka wazazi wako pale waliko wana kulani vibaya sana...hebu piga goti kwa mungu umuombe msamaha...

  ReplyDelete
 7. Huna akili kabisa tena bora ungesema ulikubari msaada sababu ulikuwa Na shida!eti sio msomi mpumbavu mkubwa wewe huna haya wala akili limbukeni wa kwanza duniani!

  ReplyDelete
 8. Mpumbavu pamoja Na kisomo chako huna akili,limbukeni ktk malimbukeni wote duniani!

  ReplyDelete