Apple music yamtaja Zuchu kama msanii wa kutazamwa Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 Nyota ya Zuchu inazidi Kung’ara , si tu Tanzania , Afrika Mashariki ambapo tayari amejizolea mashabiki wengi ndani ya Muda Mfupi , bali mpaka Bara zima la Afrika tayari wameanza kumtazama kama Msanii anaekuja kwa kasii.



Hilo limejidhihirisha baada ya Mtandao Mkubwa wa kuuza Muziki Duniani Apple Music kumtaja katika orodha ya Wanamuziki wanaokua kwa kasi na wa kutazamwa zaidi barani Afrika kwa sasa .




Katika orodha hiyo Zuchu amewekwa na Wakali wengine kama Cuppy music Omah na Qwarantunes .




Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameshare habari hiyo kubwa na kuandika :-


“Wooow am so grateful kutajwa kwenye list ya Wasanii wanaotabiriwa makubwa Kutoka Afrika na wakutazamwa zaidi “


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad