Atumia Nyoka kama barakoa kujikinga na Corona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msafiri huyo aliyekuwa amevaa barakoa yake ya nyoka alikuwa amejizungushia katika shingo na mdomoni, alionekana katika basi lililokuwa linatokea Swinton kuelekea mji wa Manchester nchini Uingereza siku ya Jumatatu.


Mamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoaMamla ya usafiri wa leri ya  Greater Manchester imesema kuwa nyoka hakubaliki kufunika uso kama barakoa


Abiria mmoja, alisema anadhani abiria huyo alikuwa amevaa barakoa ya kisasa tu mpaka alipomuona nyoka huyo akiteleza katika chuma cha kushikia mikono.


Mkuu wa usafirishaji wa Manchester amethibitisha kuwa alikuwa ni nyoka na sio barakoa halisi.


Nyoka

Shuhuda wa tukio hilo, ambaye alitaka kutofahamika alisema, ameona kuwa tukio hilo lilikuwa la kuchekesha na kustaajabisha,

Aliongeza kusema kuwa nyoka huyo hakuwasumbua abiria wenzake.


Msemaji wa usafiri wa Manchester alisema: “Muongozo uliotolewa na serikali umesema wazi kabisa kuwa barakoa zinazoruhusiwa sio lazima zile za upasuaji bali abiria anaweza kutengeneza barakoa yake anayoridhika nayo na kuivaa akiwa huru.


“Ingawa kuna kiwango kidogo tu tafsiri kamba inaweza kumaanisha hili, hatuamini maagizo hayo yalifikia kiwango cha mpaka kuruhusu ngozi ya nyoka-hususan wakati imeambatana na nyoka .”



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad