Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Baada ya mashabiki wa simba kupigwa na yanga, uongozi watoa tamko

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKlabu ya Simba, kwa mara nyingine inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu ya Yanga kuwapiga mashabiki wa Simba waliohudhuria mchezo kati ya Yanga na Mtibwa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro, Septemba 27, 2020.Post a Comment

0 Comments