Baada ya Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli Kujikusanyia Kijiji Jana Chato, Leo Kituo Kinachofuata ni Bukoba Mkoani Kagera
 ya Awamu ya Pili ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Zinaendelea kutimua Vumbi Mara Baada Ya Kujikusanyia Kura za Uhakika CHATO jana mara hii zimetia nanga Bukoba Mkoani Kagera leo Septemba 15 Kwenye Viwanja vya Gymkana. Ni Muendelezo wa Kunadi Sera na Ilani ya CCM inayoenda kutekelezwa kwa Miaka Mitano ijayo pamoja na Kufurahia Mafanikio ya Miaka 5 na Uchumi Wa Kati. @ccmtanzania @magufulijp

#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM

#VoteForCCM

#VitendoVinaSauti

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments