9/30/2020

Binti Aliyekatwa Miguu kwa Wakati Mmoja Asimama Tena, Apata Miguu MingineJackline Shirima ni msichana aliyeugua ugonjwa wa Gancrine nakupeleka kukatwa miguu yote miwili kwa wakati mmoja lakini miezi sita iliyopita aliomba msaada kupitia Ayo tv ili aweze kusaidiawa kupatiwa miguu ya bandia


Good news ni kwamba binti huyo amefanikiwa kupata miguu hiyo ambayo imegharimu zaidi ya shilingi million nane ambazo zimechangwa na watu mbalimbali


“Namshukru Mungu nimepata hii miguu ilikuwa siwezi kutembea nikitaka kutoka nje ilikuwa lazima nibebwe,natamani sasa hivi nifanye biashara wakala wa  mitandao ya simu kwa kuwa nitakuwa nakaa nakufanya kazi za mikono maana siwezi kutembea umbali mrefu”-Jack
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger