9/07/2020

Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza-MapambanoMADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea kwa moto leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, asubuhi, majira ya saa tano.


Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na taarifa zaidi juu ya uharibifu wa mali zilizoteketea bado hazijatolewa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger