9/17/2020

Breaking News: Mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi jimbo la Madaba ajitoa kwenye kinyang'anyiroMgombea wa Ubonge jimbo la Madaba mkoani Ruvuma bwana,Mkinga Ugin Gidion (Kulia) kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi,Amejitoa katika nafasi ya kugombea Ubunge wa jimbo hilo,huku mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo la Madaba Joseph Kibena akijiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger