Ticker

6/recent/ticker-posts
.

CCM Kuanza Kutumia Helikopta Kwenye Kampeni zake..Tazama Picha zake Hapa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeonesha Helikopta ambayo inatarajiwa kutumiwa na Chama hicho kwenye Round nyingine ya muendelezo wa kampeni zake ikiwa ni siku kadhaa tu toka Katibu Mkuu wake Dr. Bashiru Ally kusema yafuatayo hapa chini.“Tutakuwa na mizunguko sita ya kampeni, tumemaliza round ya kwanza sasa tunaingia round ya pili ambayo itakuwa nzito kuliko ya kwanza, tukifika round ya sita tutafahamiana zaidi“

Post a Comment

0 Comments