Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika madhingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...
Nifanyaje wadau ? Nimtose ama?
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Listen to ur heart
ReplyDelete