Dereva wa CHADEMA na Mhamasishaji wakamatwa wakidaiwa kuchoma ofisi yao Arusha



Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watatu ambapo wawili wakiwa dereva na ofisa uhamasishaji wote wa Chadema wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Arusha Agosti 14, 2020.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments