9/27/2020

Diva Love Amshauri Marioo Baada ya Taarifa za Kutaka Kujinyonga "Nakusihi Kama Mama Yako Usijinyonge Mademu wako wengi sana"

 


Mwanangu @marioo_tz Nimekuona toka unaanza Tumepambana sana kufika ulipofika. Haya Ni Maisha Yako Na Muziki Ni Career Yako...ata Im very Proud Umenunua Gari lako na unajenga nyumba yako kwa kazi zako za muziki .... ila Najua Maumivu Ya Mapenzi Yalivyo...

Najua Mapenzi Yanauma sana Ila Nakusihi Kama Mama Yako Usijinyonge Mademu wako wengi sana utapata tu mwengine ... nakupigia tuongee Yan usije jaribu ...I have been in the situation where by unaona maisha tena basi Hio Ni Miaka Imepita Uko Enzi zangu Za Ujana ila unaangalia Pia Maisha na kwann upo Yan Ukijua Thamani Yako Na Wewe ni nani Basi huez eka hiko kitanzi Mwanangu ... Healing is a Process utapona tu and life goes on... suala la Mapenzi My son Bora Uhai ... Aaah Hivi kwan Haya Mapenzi ni Kitu Gani ?

@d_fighter1 Jaman Mnamtesa mtoto wangu Hivi???

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Be strong my young bro.don't take a bad risk,let a such pain to go.

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger