9/26/2020

Dongo Janja "Mimi Sivuti Bangi Nawatulizaga Wahuni Wasifanya Uhuni""Mimi sivuti bangi, ningetaka kuvuta ningefanya tangu zamani kwa sababu nilikulia mazingira ya hivyo na niliona madhara yake, nilijaribu mara moja nikawa nachekacheka tu nikaona hainikubali" - Dogo Janja


Aidha Dogo Janja ameongeza kuwa "Nisingekuwa mwanamuziki basi ningekuwa Mwakinyo fulani hivi au ningekuwa muhuni ambaye ningekuwa nimeshafukiwa, lakini sasa hivi nikiwa Arusha huwa nawatuliza vijana wenzangu wanaopanga uhuni"   

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger