Esma: Wanaoniita Yuda Ipo Siku Wataniita Petro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Esma Khan, ambaye ni Dada wa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, NasibAbdul ‘Diamond’ amesema kuwa, waliompachika jina la Yuda, sasa wanakaribia kumpa jina la Petro.

Akizungumza na AMANI, Esma alisema jina la Yuda hakulipenda, lakini watu wa kwenye mitandao walimpa na anaamini bado siku chache watambadilisha jina hilo.

“Unajua mtu akikupa jina unapokea tu vizuri, alafu wao wenyewe ndiyo wanakuwa wanahangaika nalo, mwisho wa siku kabisa watakubadilishia baada ya kuona jina walilokupa sio lako” alisema Esma ambaye jina la Yuda lilitokana kwa kuonekana msaliti kwa mawifi zake.

NA IMELDA MTEMA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad