9/13/2020

Gwajima "Mimi si Kilaza, Nilienda Marekani Mwaka Jana, Nimeandika Vitabu 5 Kwa Kijapani


Akiwa kwenye kampeni, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam Askofu Josephat Gwajima amesema Mwaka jana alitembelea Marekani na watu wasifikiri kwamba yeye ni kilaza kwasababu anaongea Kijapani ameandika vitabau 5 vya Kijapani na vinauzwa Amazon

Amesema kuwa "Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa Hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"

Ameongeza kuwa, "Nataka kufuta ile dhana ya kuwaza tunapata Askofu Mbunge, unapata chombo au mashine ya kusaga na kukoboa. Nawatumia salamu wanaomtukana Dkt. Magufuli".
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger