9/14/2020

Gwajima 'Sisi Sio Waganga NJAA Kawe, Tumeshajaza Makapu Yetu Tunataka Tutoe Kilichondani ya Makapu Kwa Wananchi'"Sisi kwenye Ubunge hatukuja kuganga njaa, tumekuja kuwatumikia Wananchi, tulishajaza makapu yetu tunataka tutoe kilichondani ya makapu pamoja na cha CCM tuwape Wananchi ili wawe na maisha mapya, tuone furaha tena Kawe" - Ameyasema Hayo Askofu Gwajima kwenye uzinduzi Kampeni leo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger