9/22/2020

Hamisa Kafunguka gari mpya aliyojinunulia na madili aliyopata mwaka huuMrembo Hamisa Mobetto Hamisa Mobetto amezungumza baada ya kuongezewa mkataba wa Dili lake la nywele alilokuwa Balozi kwa zaidi ya miaka miwili, mwaka huu ni mwaka mwingine wa ushindi wa Hamisa ambae amesaini madili zaidi ya matatu.

Kuhusu wanaohoji gari lake aina ya Prado, amesema amelinunua kwa pesa zake mwenyewe na aliuza gari lake la zamani aina ya Vanguard na kuongezea pesa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger