9/21/2020

Hatimaye Zuchu Avunja Ukimya Ku-date na MondiMsanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ amekanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Bosi wake Diamond Platnumz na wala haishi mjengoni kwa Mondi kama ambavyo watu wamekuwa wakisema.

Hii imekuja baada ya watu kuona ukaribu wao na jinsi ambavyo bosi wake huyo anavyotumia nguvu nyingi kumpromote tofauti na wasanii wengine alionao kwenye WCB.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger