Hii Ndio Maana ya Kuning'iniza Viatu Juu ya Nyaya za Umeme


Ushwahi kuona viatu vimening'inizwa juu ya nyaya za umeme hapo mahali unapoishi au mahali popote ulipowahi kutembelea?
Je,unajua ina maana gani?
Usijali tupo hapa kukujuza yote haya.


Kitendo hiki kimetapakaa sana siku hizi za karibuni lakini wengi wetu hatujui maana halisi ya kitendo hiki,hakika kina maana nyinghi tofauti tofauti hivyo huwezi kutafsiri kwa jumla ya vitendo vyote kila mahali,ifuatayo ni oropdha ya maana hizo

01# HUWAKILISHA MAHALI PAUZWAPO DAWA ZA KULEVYA

Mara nyingi uonapo viatu vimening'inizwa juu ya nyaya za umeme maana yake eneo la karibu na hapo panauzwa dawa za kulevya.kwa mfano kuna gazeti moja la huko LOS ANGELES,CALIFORNIA lilieleza kuwa hofu ya wakazi wengi wa LOS ANGELES ni kuwa viatu hivyo huwakilisha maeneo yauzwapo dawa za kulevya.

02# HUFANYIKA KUTOKANA NA UKOROFI

Baadhi ya wahalifu walieleza ni kwanini kitendo hiki kinafanyika ,baadhi yao walieleza kuwa ni kutokana na ukorofi,yaani mtu mkorofi huweza kuiba viatu na kuvining'iniza juu ya nyaya za umeme ili yule alieibiwa kamwe asivipate viatu vyake.

03# KWA UPANDE WA WANAFUNZIKwa wanafunzi wao hufanya hivi katika kusherehekea kumaliza kwa muhula wa masomo,katika lusherehekea huko hutupa viatu.

04# KWA UPANDE WA WANAJESHI


Wao hutupa viatu kwenye vitu vyenye kukwea angani kama nyaya za umeme,miti na nyaya za simu.
Wanajeshi hutupa viatu kwa sababu mbili-

Ni kwa wale waliomaliza mafunzo maalum hawa hutupa viatu kusherehekea kumaliza mafunzo hayo.
Hutupa viatu mara baada ya kumaliza muda wao wa kuhudumu jeshini yaani kustaafu (sio wote hufanya hivi ila ni baadhi yao tu ndio hufanya hivi katika hali ya kusherehekea)


05# HUTUPA VIATU WAKIWA HAWAVIHITAJI

Sababu nyingine inayopelekea kuwapo kwa viatu hivi juu ya nyaya za umeme ni kwamba wengine wanatupa pindi wanapokuwa hawavihitaji tena viatu vyao.

06# MARA NYINGINE HUMAANISHA MTU AMEFARIKI

Kwa baadhi ya tamaduni wao hufanya hivi kuwakilisha kuwa kuna mtu amefariki mahala fulani,wao hutupa viatu kwenye miti na nyaya za umeme kwa wingi na sio pea moja.

07# KIUTAMADUNIWengine hufanya hivi kwa kuamini kuwa mpendwa wao aliefariki pindi roho yake itakaporejea basi itatembea juu juu na hata karibu na mbingu na pepo.
Na watu wengine wanaamini kuwa kuweka viatu juu ya mti au nyaya ya umeme nje karibu na nyumba wanazoishi huwaepusha na kuwaweka salama wao na mali zao dhidi madhara na vitisho vya nizimu
 mila nyingine zinaeleza kuwa kutungika viatu kwa mtyindo huo kunawafanya kuwa salama zaidi.


______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo la uuzwaji madawa ni sahihi kabisa nimefanya utafiti na kuhakikisha,Nimekusoma

    ReplyDelete
  2. Mimi ni Black Rambo kutoka Grammy, ninafanya kazi katika Kambi ya Grammy, mke wangu alifariki mwaka 6 iliyopita na tangu nimekuwa nikimtunza mwanangu pekee aitwaye Clinton, rafiki yangu wa ushauri wangu wa kumtafuta mke, kwenye upekuzi wangu nilikutana na Jennifer alikuwa na mwanamke wa Kiingereza, Nilimpenda sana kiasi kwamba ningeweza kumpa kila kitu alichokuwa na umri wa miaka 37, baada ya muda fulani wa uchumba nilikuwa na mapenzi sana naye, tulikuwa na kutokuelewana, na alivunja na mimi na ninamsihi arudi mwanangu aitwaye alisema Hapana, kwamba amempata mtu mwingine, na tunapendana sana baada ya siku kadhaa nilisoma makala kuhusu jinsi Dk Lomin anaweza kusaidiana , Niliamua kutoa jaribu, nawasiliana na Dk Lomi kwa msaada aliniambia nini cha kufanya ili kumrudisha mpenzi wangu niliyefanya, alifanya maombi na Jennifer alikuwa nyuma ananipenda na kunithamini zaidi sasa, na tuna wakati mzuri wa maisha yetu, Dk Lomi pia kuandaa baadhi ya mimea ya asili ambayo imenifanya niwe na nguvu na afya tena sasa nahisi kama kijana niliyemridhisha vizuri sana sisi sote tuna furaha, wasiliana na Dk Lomi kwenye WhatsApp namba +2349034287285 au barua pepe yake kwenye lomiultimatetemple@gmail.com ANA SULUHISHO BORA KWAKO.

    ReplyDelete

Below Post Ad