Ifahamu migahawa ya ajabu kuwahi kutokea dunianiZipo hoteli na migahawa mbalimbali duniani ambayo husifiwa kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na utamu wa vyakula vinavyouzwa, huduma zilizokidhi viwango, mazingira ilipo migahawa hiyo au hoteli hizo na mengine mengi.Hii ni orodha ya migahawa mitatu ya ajabu duniani

Disaster Cafe ni mgahawa ulioko Hispania ndani hutokea tetemeko kubwa la aridhi la kipimo cha 7.8 jambo ambalo nje ya mgahawa huo alipo na maisha ya kawaida yanaendelea wahudumu huu wanavaa kofia ngumu za ujenzi na vifaa vya usalama.

Watu wanapohudumiwa tetemeko huanza na vyombo vinavyotumika havipasuki hata vikianguka chini kwa mtikisiko kinacho mwangika ni chakula tu kutoka kwenye vyombo hivyo watu hupenda kwenda kushuhudia maajabu hayo.

Opaque huu ni mgahawa ulioko Los Angeles maarufu kwa wapenzi, mazingira yake mazuri,  mishumaa pekee hutumika lakini cha kushangaza  ndani ni giza na wahudumu huvaa miwani maalumu ambayo inawawesha kuhudumia kwa kuwashika mikono na kuwaongoza mahali pa kukaa.

Mteja ana uwezo wa kunusa, kugusa au kusikia akiwa ndani huku ikielezwa kuwa lengo haswa la mgahawa huo ni kukuza uelewa kuhusu upofu.

Hadacker Such huu ni mgahawa ulioko west Hollywood Marekani ni maarumu kwa chakula aina ya 'such' mbapo mteja wa kiume akifika anahudumiwa chakula kikiwa juu ya mwili wa mwanamitindo wa kike ambaye yuko mtupu hivo hivyo kwa mteja wa kike huletewa chakula kwenye mwili wa mwanamitindo wa kiume ambaye pia yuko mtupu.

Chakula hicho kinawekwa juu ya jani la mgomba bila kugusa ngozi na sehemu nyingine ya mwili hufunikwa na maua usafi na maandalizi ni ya hali ya juu, pia watoto hawaruhusiwi kuingia. That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments