9/09/2020

Jakaya Kikwete: Sijamwacha Mke WanguRAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hajamuacha mkewe, Mama Salma Kikwete kama baadhi ya watu ambavyo wamekuwa wakisema kuwa ameuacha ndiyo maana ‘anahangaikia ubunge.’

Kikwete amesema hayo akiwatania wakwe/shemeji zake wa Lindi ambako ndiko nyumbani kwao na Mama Salma wakati wa kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger