JPM: Lugola na mwenzake walifungana kura 173, tukakuta Lugola kura 1 alijipigia mana ni Mjumbe wa Halmashauri“Lugola na mwenzake walifungana kura zilikuwa 173, tukapiga hesabu nani ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, tukakuta Lugola ni Mjumbe, kwahiyo kura 1 alijipigia, kwahiyo moja kwa moja tukiitoa hiyo 1 yeye anaondoka”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments