JPM: Mtu anasimama ameshiba Ugali anasema eti Ndege hazina faida yeye alikotoka huko alikuja na bajaji?


“Tunatengeneza maisha ya watoto wetu inawezekana sisi kwa umri wetu tusiyafaidi, tunahitaji maendeleo ya jumla ya Watanzania wote, mtu anasimama ameshiba Ugali anasema eti Ndege hazina faida yeye alikotoka huko alikuja na bajaji?“Uongozi ni kutoa sadaka, nimeamua kutoa maisha yangu ya uongozi kama sadaka kwa Watanzania, hii kazi ndugu zangu ni ngumu lakini ninaweza kuifanya tena kwa miaka mitano” That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments