9/14/2020

JPM: Ni Shetani Alitaka Kutawala Dunia, Lakini Hatatawala Tanzania, Nchi Yetu inaamini katika imani za Watu Tofauti“Ni shetani alitaka kutawala Dunia, lakini hatatawala Tanzania, shetani ataendelea kushindwa kwa sababu tunajitambua, nchi yetu inaamini pia katika imani za watu tofauti, tulisimama imara na Mungu akatusikia”

“Kila nikimfikiria Mzee Mkapa moyo unaniuma kwa sababu yeye ndiye aliyeniokota huku jalalani, msicheze na kukosekana kwa amani, msije mkajaribu kitu kitamu wakati mnakiona ni kichungu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger