Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kanye West Ajutia Kutumia Bilion 116 Kuandaa Kuandaa Sunday Services Mwaka 2019

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Kanye West ametutajia kiasi kilichotumika kuandaa Sunday Service kwa mwaka 2019 pekee.

Kwenye mahojiano na Podcast ya Nick Cannon "Cannon Class" Ye amesema alitumia kiasi cha ($50 million) sawa na Bilioni 116 za Kitanzania, ambapo ameweka wazi kwamba zilitumika kwenye shughuli za uendeshaji ikiwemo uniforms kwa wana Kwaya, ndege na maeneo.

Post a Comment

0 Comments