9/30/2020

Kanye West na Kim Kardashian Wamekutana Kuyamaliza

 Kanye West na Kim Kardashian wamekutana kuyamaliza? Jana inaripotiwa huwenda walikuwa pamoja wakijumuika kupata chakula cha usiku.

Alikuwa ni Kanye ambaye alituambia kupitia twitter kwamba anapata chakula cha usiku, akiwa na mtu "Dinner for 2" na wengi kuamini kwamba atakuwa alitoka na mkewe Kim Kardashian ambaye hivi karibuni ameripotiwa kuitaka talaka yake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger