9/22/2020

Kataeni Wanaosimama Majukwaani na Kutaka Kuigawa Tanzania Vipande Vipande


“Unapomsikia mtu anasimama hadharani bila hata kumwogopa Mungu, kwamba yeye akipata madaraka anaigawa vipande vipande Tanzania iwe majimbo, Ninawaomba hawa muwafundishe kwa kuwanyima kura, wanakotupeleka si huko, Kataeni, kataeni, masuala ya majimbo yanayotaka kuletwa ”. JPM Itigi @ccmtanzania #T2020JPM #KuraKwaMagufuliHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger