9/28/2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Azindua Awamu ya Tatu Kampeni CCM


Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa amezindua awamu ya tatu ya Kampeni za CCM Kutokea Kongwa Mkoani Dodoma Kwenye Mkutano Mkubwa wa Mgombea Mwenza wa CCM Mama Samia Suluhu Hassani. Chama Cha Mapinduzi kimeingia Awamu ya 3 Kati ya 6 za Kuwasha Mitambo yake ya Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wote nchi nzima. @ccmtanzania #T2020JPM #VitendoVinaSautiHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger