Kigwangala Amuwashia Moto Moo Dewji Usaji Mpya wa CEO Simba "Board ya Simba Inapaswa Kuwajibika"


Kigwangala Amuwashia Moto Moo Dewji kuhusu usaji wa CEO Mpya Simba
Hapa Kingwangalla @hamisi_kigwangalla anahoji kuhusu vitu kadhaa vikiwemo uzoefu wa CEO. Ameongeza zaidi kuomba CV ya Senzo akimaanisha ni mtu mzoefu kwenye soka. Nitai post CV ya Senzo kwenye post inayofuata.
.
Pia amehoji utaratibu uliotumika kumpata na alishindanishwa na nani hadi kumpata yeye kama CEO.
.
Wadau wa michezo wenye uwezo wa kujenga hoja tu, naomba mtoe maoni yeni pia.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. kachoka kuipigia debe ccm. sasa anatafuta kiki na Moo..

    ReplyDelete