9/24/2020

Kikeke "Samatta ni kweli yupo Uturuki Bado Haja Sign"

 


Mtangazaji wa Dira ya Dunia ya BBC Salim Kikeke amewasiliana na Mbwana Samatta ambaye ameeleza kweli yupo Uturuki lakini hajasaini Fenerbahce yupo kwenye mazungumzo.

”Nimechat na Captain Diego @Samagoal_77 amethibitisha yuko Uturuki na majadiliano yanafanyika lakini bado hajasaini”>>> Salim KikekeSamatta anaenda kwa mkopo Fenerbahce baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha Aston Villa ambapo kwa sasa wamesaini wachezaji watatu wapya katika nafasi yake, kocha Dean Smith wa Aston Villa alinukuliwa akisema Samatta alimuacha katika mchezo dhidi ya Sheffield sababu hakuwa fiti ni utaratibu wa kawaida.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger