9/12/2020

Killy na Cheed: Tupo Konde Gang ila tunamshukuru sana Alikiba, bila yeye sisi tusingekuwa hapaWasanii wapya wa @kondegang @officialcheed na @officialkilly_tz walivyotua kwenye tukio la @countrywizzy_tz ambapo anazindua EP yake.U

Mbali na hilo wametoa Shukran nyingi sana kwa @officialalikiba kwa kuwatengenezea misingi mizuri kwenye muziki. @officialkilly_tz na @officialcheed pia wameeleza muda ambao wameutumia hadi kusainiwa @kondegang

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger