google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html KIMENUKA..Dkt Bashiru Atoa Maagizo Kigwangalla Kisa Sakata la Simba na Modewji | UDAKU SPECIAL

KIMENUKA..Dkt Bashiru Atoa Maagizo Kigwangalla Kisa Sakata la Simba na Modewji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla, kuacha kujibizana mitandaoni kuhusu mpira na badala yake, atumie muda huo kuweka vitu vitakavyomsaidia mgombea Urais wa chama hicho Dkt Magufuli kushinda uchaguzi.

Hayo yameelezwa hii leo Septemba 06,2020, kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM, ambapo licha ya kutoa maelekezo hayo kwa Kigwangalla, pia ametoa maelekezo kwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye.

"Naona Dkt Kigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na Mohamed Dewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi, nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda, siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM" amesema Bashiru.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad