9/05/2020

Komando Jide Alivyoingia Mlimani City Kimadaha Shoo Ya Miaka 20


Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee au Komando leo aliingia kimadaha ya aina yake ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Dar ambapo kulikuwa na shoo yake ya kutimiza miaka ishiriki kwenye gemu.Jide alivyowasili eneo la tukio.

Katika shoo hiyo, Jide aliimba nyimbo zilizowahi kutamba enzi hizo wakati mwingine akisaidiwa na wakongwe wenzake na kufanikiwa kufunika ile mbaya kwenye shoo hiyo.


Akiwa kwenye pozi la picha alipokuwa red carpet

Miongoni mwa wakongwe waliomsindikiza Jide ni pamoja na TID, AY, Domokaya, Joh Makini na wengineo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger