Lowassa amuambia Rais Magufuli “inatisha lakini usitishike, umma na dunia inajua”

 


“Sina mashaka juu ya Rais Magufuli kushinda, mashaka yangu ni atashinda kwa kura ngapi?, huko wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile wanaonekana kwenye Mitaa, ma-TV pengine ina tishatisha lakini tumemuambia Rais wetu usitishike hata kidogo, umma wa Watanzania upo nyuma yako na dunia inajua” Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa


“Nasema hivyo sababu kama umesikiliza TV leo, Australia Rais anajiuzulu, Bolvia Rais anajiuzulu kote sababu ya Corona, si mchezo, nyinyi mtu wenu tena mtu mweusi hana nguvu za Mitume anawaambia Taifa lake jamani tumuende MUNGU tumuombe tuepukane na hili janga, watu wa ajabu wakasema anababaisha, tumepita wiki mbili wiki tatu hamna Corona” Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasaa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

2 Comments

 1. Swadakta EDO,Hawa wana Saccoz, Hawana
  lao jambo wala sera. Tunakwenda kuwasikiliza tukidhani labda watakuwa na Sera ila tunacho baini ni kwamba wameamua kujifanya ni watetezi wa Jeshi la walinzi wa Raia na Mali zao
  ili kama kutatokea wanacho kipanga hawa wana Usalama wasiweze kuwajibika
  kwa kuwabadilisha saikolojia kuwa alikuwa akizungumzia/akitetea haki na mafao yetu(Msajili wa vyama na Simbacchawene/ Sirro) ni wajibu wao kumfupisha huyu kilaza namgombea mwenza juu ya kuwadhalilisha wanajeshi wetu hadharani ktk mikutano ya kampeni hizi tunazo fanya kiustaarabu.

  Hawa walioyumwa wana Ajenda yao ambayo sio siri tena baada kujua hawatoboi kwa Kipenzi chetu Watanzania na Afrika
  yote. JPJM.

  Mungu anamlinda na kila Hasidi.
  na kila nia zao ovu hawa waovu.

  ReplyDelete
 2. Swadakta Ngoyai,Hawa wana Saccoz, Hawana lao jambo wala sera. Tunakwenda kuwasikiliza tukidhani labda watakuwa na Sera ila tunacho baini ni kwamba wameamua kujifanya ni watetezi wa Jeshi la walinzi wa Raia na Mali zao
  ili kama kutatokea wanacho kipanga hawa wana Usalama wasiweze kuwajibika
  kwa kuwabadilisha saikolojia kuwa alikuwa akizungumzia/akitetea haki na mafao yetu(Msajili wa vyama na Simbacchawene/ Sirro) ni wajibu wao kumfupisha huyu kilaza namgombea mwenza juu ya kuwadhalilisha wanajeshi wetu hadharani ktk mikutano ya kampeni hizi tunazo fanya kiustaarabu.

  Hawa waliotumwa wana Ajenda yao ambayo wamesha anza kuumbuka, sio siri tena baada kujua hawatoboi kwa Kipenzi chetu Watanzania na Afrika
  yote. JPJM.

  Mungu anamlinda na kila Hasidi.
  na kila nia zao ovu hawa waovu.

  ReplyDelete