9/23/2020

Maandamano dhidi ya uwepo wa Ufaransa nchini MaliMaandamano dhidi ya uwepo wa jeshi la Ufaransa yafanyila nchini Mali.

Katika hotuba ikiotolewa katika hafla ya maadhimisho ya miaka 60 tangu Mali kujipatia uhuru,kiongozi wa CNSP Assimi Goita ametolea wito wa kuunga mkono majeshi ya kigeni yalipo nchini Mali.


Maelfu ya raia wa Mali walimiminika katika vitongoji tofauti wakiandamana kupinga uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini humo.


Waandamanaji wameonesha pia ghadhabu zai dhidi ya kikosi cha Umoja wa mataifa kwa ajili ya amani nchini Mali.


Waandamanaji wameonekana wakiwa na mabango yaliokuwa na kauli dhidi ya Ufaransa.


Wanajeshi 5100 wa Ufaransa wapo nchini Mali katika Ukanda wa Sahel.


Sahel ni eneo ambalo linajumuisha Motiritania, Mali, Burkina Faso, Niger na chad.


Wanajeshi hao ni katika operesheni yaBarkhane ilioanzishwa mwaka 2015.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger