Ticker

6/recent/ticker-posts

Mabinti Wanaoikaribia 30 Wana Kiu kali ya Ndoa Usipime..


Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana kwa kifupi hawana muda wa kupoteza Yuko tayari kukupiga hata limbwata akakuteke akikuona hueleweki heleweki......

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments