9/11/2020

Madiwani wa CHADEMA walikuwa mabubu: Bi. Afisa GalyatanoAliyekuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera Bi. Afisa Galyatano amewata wanabiharamulo kihakikisha wanawachagua madiwani wa CCM na mbunge wa CCM na Rais wa Chama cha mapinduzi kwakuwa wakifanya hivyo wataweza kujenga umoja utakao wawezesha kupata maendeleo kwa haraka jimboni kwao. 


Akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa chama ca mapinduzi wilayani Biharamulo ambapo amesema kuwa madiwani wa CHADEMA waliyokuwepo walikuwa mabubu katika vikao vya baraza na walikuwa hawawatetei wananchi wake hali ambayo ilipelekea wilaya hiyo kurudi nyuma kimaendeleo kwasababu ya madiwani ambao hawakuwa na umoja katika kufanya maamuzi kwenye vikao vya baraza.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger