9/14/2020

Magufuli Amvulia Kofia Harmonize...Meneja Wake Afunguka


Staa wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide Rajab Abdul ‘Harmonize’ amefunguka kupewa heshima ya kofia na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, kwenye kampeni wilayani Chato, Geita.

Harmo amesema kuwa ni heshima kubwa kwake na amefurahi kutokana na jinsi Rais John Pombe Magufuli alivyomuheshimu.

 
Kupitia meneja wake Beauty Mmari ‘Mjerumani’ akizungumza na Global Publishers amesema kuwa ni heshima kwao na ni kitu kizuri.

‘Ni kitu kizuri tunashukuru na mwendelezo wa mheshimiwa wa rais kutambua mchango wa kazi za vijana na kuwakubali katika kazi zao, pia tumepokea kwa heshima kubwa na rais akifanya chochote juu yako ni heshima kubwa kupitia hilo milango itafunguka.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger