Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha MondiMGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.

Magufuli amefanya hayo leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, wakati Diamond  alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments