9/01/2020

Magufuli 'Mmoja wa Wagombea Nafikiri Anatoka HAPA Singida, Akija Mwambieni Magufuli Amesema Akazi Serikalini'


 "Mmoja wa Wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) mshaurini kwamba mimi mnipe kura nyingi nitamtafutia kikazi kidogokidogo Serikalini, ni Mtoto wetu tunampenda, mimi sina tatizo na Mtu yeyote, kwani kazi lazima uwe Rais?, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi”-JPM

“Mgombea anayetoka hapa (Singida) ni Mtoto wetu tunampenda, mimi sina tatizo na Mtu, Urais muachie Magufuli wewe tutakupa kikazi utakachoweza kufanyafanya, sisi wote ni wamoja, akija mwambieni Magufuli amesema atakupa kazi, kwanini unahangaikia hii kazi ambayo hutoshinda!?”-JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger