Mateso Aliyoyapata Mmarekani Mweusi Hadi Kufariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtu mmoja mweusi nchini Marekani, Daniel Prude amefariki Dunia baada ya kundi la Polisi nchini humo kumvalisha kofia na kisha kugandamizwa kichwa chake kwenye barabara ya lami kwa dakika mbili.

Inaaminika kuwa, Prude aliuwawa March 3, 2020 baada ya kufanyiwa tukio hilo kisha watoa msaada wa huduma za afya kumuwahisha hospitali na kupoteza maisha siku saba baada ya kufanyiwa tukio hilo.



Kifo chake hakikufahamika na watu wengi kabla ya jana familia yake kufanya mkutano na waandishi wa habari kisha kuachia kipande cha video kikiwaonyesha polisi walivyomfanyia tukio hilo.

Kaka wa Prude, Joe alihoji, “Ni wangapi watapoteza maisha katika jamii mpaka watu waelewe kwamba haya matukio yanapaswa kupigwa vita?.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad