Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Matokea ya Simba na Gwambina Haya Hapa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


FT: Simba 3-0 Gwambina FC

Uwanja wa Mkapa

Goal Mugalu dk 90+3

Zimeongezwa dk 3

Dakika 90 zinakamilika

Dakika ya 86 Gwambina wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 70 Jimson anaingia anatoka Nonga wa Gwambina

Dakika ya 67 Bwalya anatoka anaingia Morrison

Dakika ya 66 Gwambina wanalifuata lango la Manula

Dakika ya 59 Yusuph Dunia anapiga faulo inakwenda nje kidogo ya 18

Dakika ya 54 Bwalya anachezewa faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 50 Wawa goal la pili kwa mpira wa adhabu nje ya 18

Dakika ya 46 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba

Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Mkapa

Mapumziko


Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika


Simba 1-0 Gwambina


Ndani ya kipindi cha kwanza Gwambina imeweza kucheza kwa kujilinda zaidi huku kipa namba moja wa Gwambina Mohamed Makaka akiwa ni nyota kwa kuwa ameokoa michomo miwili ya hatari

Imeongezwa dakika moja

Dakika ya 45 mchezaji wa Gwambina anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 44 Luis anachezewa faulo hakizai matunda

Dakika ya 40 Goal Kagere


Dakika ya37 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba

Dakika ya 32 Gwambina wanapeleka mashambulizi Gwambina

Dakika ya 31 Kapombe anapeleka mashambulizi Gwambina

Dakika ya 23 Luis anapiga kona inaokolewa na kipa wa Gwambina 

Dakika ya 22 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la 18

Dakika ya 19 Onyango anapeleka mashambulizi Gwambina

Dakika ya 18 Nonga anachezewa faulo

Dakika ya 17 Tshabalala anapeleka mashambulizi Gwambina

Dakika ya 16 Gwambina wanaokoa

Dakika ya 15 Kagere anafanya jaribio linakwenda nje ya lango.

Dakika ya 14 Bwalya anafanya jaribio linaokolewa na mabeki.

Dakika ya 9 Gwambina walipata kona haikuzaa matunda.

Simba 0-0 Gwambina

Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha kwanzaMCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa ni kati ya Simba na Gwambina FC.Kipindi cha kwanza kwa sasa na mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ushindani ndani ya uwanja.

Post a Comment

0 Comments