9/17/2020

Mbaroni Kwa Kuwaunguza Watoto wa Kambo Kutokana na Kula Samaki wa WageniJeshi la Polisi linamshikilia Ester John, kwa tuhuma za kuwaunguza watoto wawili wa kambo kwa kudai kuwa walikula samaki walioandaliwa kwa ajili ya wageni

Katika tukio hilo, Ester anatuhumiwa kuwaunguza kwa maji ya moto watoto hao wenye umri wa miaka 8 na mwingine wa miaka 4. Baada ya kuwaunguza aliwafungia ndani bila kuwapa msaada wa matibabu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger