Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mbwana Samatta Atua Istanbul Kukamilisha Uhamisho WakeMshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta (27), amewasili katika mji wa Istanbul ili kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kwa klabu ya Fenerbahce. Mchezaji huyo wa Tanzania alijiunga na Villa kutoka klabu ya Genk nchini Ubelgiji mwezi Januari na kufunga magoli 2 katika mechi 16 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments